Avoid support scams. We will never ask you to call or text a phone number or share personal information. Please report suspicious activity using the “Report Abuse” option.
Learn MoreKufuta maelezo yako ya kuvinjari, kama ulizopitia, habari Autofill na upendeleo tovuti.
Jifunze jinsi ya kufunga Firefox juu ya iphone yako, iPads na iPods vinavyoendesha iOS 8 na juu.
Kujua ni toleo lipi la Firefox unatumia kwenye iPad yako, iPhone au iPod.
Firefox kwa iOS inakuwezesha kuokoa kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako ili uweze kutazama baadaye katika usafi na hali ya msomaji ya kirafiki.