Kusawazisha historia yako ya kuvinjari Firefox iOS

Ikiwa unatumia Firefox kwenye vifaa mbalimbali, Akaunti yako ya Firefox inakuwezesha kusawazisha historia yako, tabo wazi, maalamisho na neno-siri kwenye vifaa yako yote. Unachohitaji tu ni barua pepe na nenosiri.

Maalamisho: Hili toleo la Firefox linaruhusu kusawazisha alamisho kutoka Firefox kwenye simu yako, au Mac, Windows au Linux kompyuta kwa iPad, iPhone iPod au kugusa. Maalamisho yako yataokolewa kwenye vifaa vyako vya iOS si kusawazisha kwa simu yako, Mac, Windows au Linux kompyuta.

Sehemu ya 1: Kuanzisha Akaunti ya Firefox

Akaunti mpya za Firefox: ikiwa unaweka akaunti mpya ya Firefox, anza na kifaa ambayo ina taarifa zote unazotaka kusawazisha.
 1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

  tab icon ios
 2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

  'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
  settings ios
 3. Bomba Sign in kufungua ukurasa wa Create an account.
 4. Fuata maagizo ya kuunda akaunti. Weka nakala ya maelezo yako ya kuingia. Utahitaji unapounganisha vifaa yako.
 5. Angalia barua pepe yako kwa kiungo cha uhakiki na bomba juu yake ili kuthibitisha akaunti yako.

Mara baada ya kumaliza hatua hii, endelea kwa Sehemu ya 2.

Sehemu ya 2: Kuunganisha kifaa chako cha iOS

 1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

  tab icon ios
 2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

  'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
  settings ios
 3. Bomba Sign in kufungua ukurasa wa Create an account.
 4. Bomba I already have an account na kufuata maelekezo ya kuingia.

Maelezo yako itasawazishwa katika dakika chache. Kulazimisha upatanishi wakati wowote, bomba Sync Now katika mipangilio ya Firefox menyu Settings.

Kuanzisha Sync kwenye kifaa kingine, tazama:

// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support