Futa historia ya kuvinjari katika Firefox kwa ajili ya iOS

Firefox inahifadhi tovuti ambazo unaembelea katika historia yako unapojivinjari kwenye mtandao. Fuata hatua hizi ili kufuta historia yako.

 1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

  tab icon ios
 2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

  'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
  settings ios
 3. Katika Mipangilio ya Firefox orodha, chini ya kifungu cha faragha, bomba Clear Private Data.
 4. Bomba kubadili switchonios karibu na aina ya habari ungependa kuondoa
 5. Katika mazungumzo ya Clear Everything, bomba Clear kufuta data yako yote.
Tahadhari: Kusafisha data yako ya binafsi itafunga tabo zako zote zilizowazi.

Ni aina gani ya habari ninaweza kuondoa?

 • 'Historia ya kujivinjari' - anwani na asilia kwa ajili ya tovuti ulizotembelea. Kusafisha hii huondoa tovuti hizi kutoka maeneo ya juu yako.
 • 'Cache' - sehemu ya kurasa za mtandao zinafadhiwa katika browser kuifanya kupakia kwa kasi wakati mwingine ukiitembelea.
 • 'Kuki' - mafaili ambayo yana habari kuhusu ziara yako ya tovuti, ikiwa ni pamoja na mapendekezo ya tovuti na maelezo ya mtumiaji.
 • 'Takwimu ya tovuti nje ya mtandao' - Faili ambazo tovuti huhifadhi katika kifaa yako (kama umefanya kuruhusiwa) ili uweze kuendelea kuitumia nje ya mkondo.
 • 'Logins Zilizohifadhiwa' - Kumbukumbu ya majina ya watumiaji na nywila.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More