Firefox for iOS
Firefox for iOS
Last updated: 09/11/2015
Kama Firefox sio ya manufaa kwako, kusakinusha kutoka kwa kifaa yako ya iOS itachukua sekunde chache.
- Gusa na kushikilia ikoni ya Firefox mpaka itingike.
- Bomba ikoni ya X.
- Bomba kwenye uthibitisho ili kutamatisha.
Kusakinisha Firefox katika siku zijazo, angalia Pakia Firefox kwenye iPad yako, iPhone au iPod.