Firefox for iOS
Firefox for iOS
Created: 08/29/2015
Mtazamo wa msomaji huondoa picha, matangazo, video na menus kutoka ukurasa wa mtandao, hivyo unaweza kuzingatia kusoma. Msomaji mtazamo inapatikana kwa makala, blog posts na kurasa nyingine ya mtandao ambayo inaweza kuwa rahisi.
Hapa ni jinsi ya kutumia hiyo:
- Bomba ikoni ya mtazamo wa msomaji kwenye ukurasa ungependa kuona. (Kama kifungo haionekani, ukurasa basi haipatikani katika mtazamo wa Msomaji.)
- Ikoni itageuka kuwa rangi ya machungwa wakati ukurasa ipo katika Msomaji.
- Kutoka mtazamo wa msomaji, bomba ikoni ya mtazamo ya msomaji tena, na ukurasa itarudi kwa mtazamo wa kawaida.