Je, Firefox inapatikana kwa iPhone au iPad?

Firefoxkwa iOS inapatikana kwenye iPad, iPhone na vifaa vya kugusa vya iPod kwamba ni sambamba na iOS 8.2 na juu. Kwa uzoefu bora wa Firefox, angalia kama toleo jipya la iOS linapatikana kwa kifaa yako.

Watumiaji waliosajiliwa wa Apple wanaweza kushusa Firefox kwa iOS katika lugha zifuatazo:

Firefox daima inatumia lugha msingi yako. Tembelea kubadilisha lugha msingi katika Firefox kwa iOS kwa maelezo zaidi.
 • Bengali (India)
 • Breton
 • Bulgarian
 • Chinese (Simplified)
 • Chinese (Traditional)
 • Czech
 • Dutch
 • English (US)
 • Esperanto
 • French
 • Frisian
 • Galician
 • German
 • Icelandic
 • Indonesian
 • Irish
 • Italian
 • Japanese
 • Khmer
 • Korean
 • Latvian
 • Lithuanian
 • Lower Sorbian
 • Norwegian (Bokmål)
 • Norwegian (Nynorsk)
 • Polish
 • Portuguese (Brazil)
 • Portuguese (Portugal)
 • Romanian
 • Russian
 • Scottish Gaelic
 • Slovak
 • Slovenian
 • Spanish (Chile)
 • Spanish (International)
 • Spanish (Mexico)
 • Swedish
 • Tagalog
 • Turkish
 • Ukrainian
 • Upper Sorbian
 • Uzbek
 • Welsh
// These fine people helped write this article:vesper, Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support