Firefox for iOS
Firefox for iOS
Last updated: 12/10/2015
Firefox kwa iOS inakupa fursa ya kubadili injini yako ya utafutaji. Hapa ni jinsi ya kufanya hivyo:
Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.
Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)
'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
- Bomba .
- Bomba ya sasa injini yako ya utafutaji ya msingi kubadilisha.
- Chagua injini ya utafutaji nyingine kutoka orodha kwenye skrini ijayo. Alama hundi itaonyesha uteuzi wako.
- Baada ya kuchagua injini yako ya utafutaji ya msingi mpya, Firefox itakupeleka kurudi katika Search skirni. Bomba Settings kurudi kwenye orodha, na bomba Done kuifunga.
Onyesha mapendekezo ya utafutaji: Wezesha hii ili kuona mapendekezo ya utafutaji kutoka injini msingi ya utafutaji unapopiga chapa katika baa ya anwani.