Ongeza au Ondoa injini ya utafutaji katika Firefox kwa iOS

Ingawa Firefox inakuwezesha kuweka injini yako ya utafutaji ya msingi, hulka yake ya utafuta wa haraka pia inakuwezesha kubadili kati ya injini mbalimbali kwenye orodha yako kama unapojivinjari.

Lemaza injini ya utafutaji ambayo huna haja au kuwezesha ikiwa utabadili mawazo yako. Hii hapa jinsi ya kufanya hivyo:

  1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

    tab icon ios
  2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

    'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
    settings ios
  3. Bomba Search katika skirini ya Firefox Settings.
  4. Bomba kubadili dhidi ya kila moja ya injini ya utafutaji kulemaza switchoffios au kwa switchonios .

Injini yako ya utafutaji itaonekana chini ya skirini wakati wa utafutaji.

quick search ios l10n
Firefox moja kwa moja itatumia injini tafuti yako chaguo isipokuwa kama utachagua moja ya injini ya utafutaji hapo chini.
// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support