Avoid support scams. We will never ask you to call or text a phone number or share personal information. Please report suspicious activity using the “Report Abuse” option.
Learn MoreFirefox husahihisha yenyewe lakini unaweza kufanya sasisho mwenyewe. Jifunze jinsi ya kusahihisha Firefox kwa Windows, Mac au Linux.
Mozilla haina malipo kwa ajili ya programu, upgrades au msaada wa kiufundi. Kujua kuhusu ulaghai ya kawaida na jinsi ya kujikinga kutoka kwao.
Pakia kurasa yako favorite katika click moja. Tutaweza kuonyesha jinsi ya kuweka ukurasa wako nyumbani au kurejesha ukurasa default.
Hapa utajifunza kuhusu vidokezo vay msingi na miongozo kwa ajili ya kutumia Firefox katika lugha yako.