Ondoa Tovuti za Juu kutoka skrini ya nyumbani Firefox iOS

Firefox kwa iOS huonyesha Tovuti za Juu (kurasa unazotembelea kwa wingi na za hivi karibuni) kwenye skrini ya nyumbani (Skrini za Ajabu) hivyo unaweza kuzipata kwa urahisi. Kama hautaki tovuti hizi kwa kuonyesha hadi, unaweza kuzifuta kwa urahisi:

  1. Bomba na kushikilia juu ya tovuti kwenye jopo la Tovuti za juu mpaka tiki nyekundu 'x' ionekane kwenye kila kisanduku.
  2. Bomba nyekundu 'x' kwenye tovuti unayotaka kufuta.
    delete top site firefox ios
  3. Bomba Done juu ya skrini ukishamaliza.
ufuta historia yako ya kuvinjari pia itafuta tovuti zako za juu. Angalia Futa historia ya kuvinjari katika Firefox kwa ajili ya iOS kwa maelekezo.
// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support