Maswali yanayoulizwa sana

Firefox Firefox Created: 07/09/2015 100% of users voted this helpful

Hapa ni mkusanyiko wa viungo kurasa muhimu sana kueleza jinsi ya kutumia na kurekebisha matatizo yoyote unaweza kukutana wakati wa kutumia Firefox.

Ili kujifunza zaidi, bonyeza kiungo inayolingana vyen NA habari unayotafuta:

 • Private Browsing - Use Firefox without saving history, ambayo ni pamoja na yafuatayo:
  • Nawezaje kufungua Dirisha mpya la Binafsi?
  • Nawezaje kurejea kwenye uvinjari wa binafsi?
  • Nawezaje kulemaza kujivinjari binafsi?
  • Je uvinjari wa binafsi haiwezi kuhifadhi?
  • Njia nyingine ya kudhibiti kile habari Firefox inahifadhi
 • Diagnose Firefox issues using Troubleshoot Mode, ambayo ni pamoja na yafuatayo:
  • Jinsi ya kuanza Firefox katika Modi Salama
  • Dirisha la Modi Salama
  • Kusuluhisha Matatizo katika Modi ya Salama
  • Kutoka Salama Modi
  • Tengeneza mabadiliko ya kudumu ya Firefox katika dirisha la Modi Salama
 • Firefox hangs or is not responding - How to fix, ambayo ni pamoja na yafuatayo:
  • Firefox yazubaa kwa nyakati usio na mpangilio
  • Firefox yazubaa wakati kucheza video za Flash
  • Firefox yazubaa baada ya kutumia kwa muda mrefu
  • Sasisha Firefox
  • Firefox yazubaa wakati wa kupakia dirisha la kwanza
  • Harakisha rejesho la kikao
  • Firefox yazubaa wakati kupakua faili au kuhifadhi picha
  • Firefox yazubaa wakati wa kujiondoa

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More