Jinsi ya kulemaza kitazamaji cha PDF kilichojengwa ndani na kutumia kitazamaji nyingine

Note: Hii inatumika kwa toleo la karibuni la Firefox release ambayo inaweza kupakuliwa kutoka mozilla.org/firefox.

Kama ni afadhali kutumia onyesho la PDF lilijengewa ndani, unaweza kutumia kitazamaji nyingine ya PDF kama Adobe Reader, Nitro PDF Reader au Sumatra PDFAdobe Reader, MozPlugger, au KParts pluginProgramu ya Mac OS Preview au Schubert|it PDF Browser Plugin.

Kubadili kutoka kitazamaji cha PDF kilichojengewa ndani hadi kingine:

  1. Bofya kifungo cha orodha New Fx Menu na uchague OptionsPreferences
  2. Chagua paneli ya Applications.
  3. Tafuta Portable Document Format (PDF) katika orodha na kibonyeze ili kuchagua.
  4. Bonyeza kwenye kunjuzi ya katika Action kwa ajili chagua hili na kuchagua kitazamaji cha PDF unachotaka kutumia.

    PDFviewer&plugin-Fx19
    Note: Kama unataka kuona faili ya PDF katika Firefox kutumia Plugin, badala ya programu ya nje, chagua Use PDF reader name (in Firefox).
  5. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.

 

// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support