Pa kwenda kwa msaada wa waendelezaji

Kama wewe ni mwendelezaji, utapata nini unahitaji katika Mozilla Developer Network (MDN). MDN inatoa nyaraka, demos, na Q&A jukwaa ambapo unaweza kuuliza maswali na kushirikiana na watengenezaji wengine.

Kurasa zifuatazo ni sehemu nzuri ya kuanza kama unahitaji msaada:

 • Vumbua nyaraka katika MDN. Utakuta tutorials, zana na sampuli kificho kwa ngazi zote ujuzi.

Baada ya swali] kwa Mozilla Developer Network ya Stack Overflow .

Hapa ni chache tu ya mada utapata katika MDN:

 1. Fungua teknolojia za mtandao:
 2. *HTML
 3. *CSS
 4. *JavaScript
 5. *APIs
 6. Firefox OS:
 7. *Fungua programu za mtandao
 8. *Ujenzi na kufunga Firefox OS
 9. *Kuchangia kwa mradi wa Firefox OS
 10. *Kubinafsisha Gaia
 11. Jukwaa la Mozilla :
 12. *Gecko
 13. *Ujenzi na Configuring Firefox
 14. *XUL
 15. *XPCOM
 16. *Firefox mtihani njia (Night, Aurora na Beta)
// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support