Jinsi ya kushusha na kufunga Firefox katika Windows

Makala hii inaelezea jinsi ya kufunga Firefox kwenye Windows.

Makala hii inatumika tu kwa Windows. Kwa maelekezo ya kufunga Firefox kwenye Mac, angalia Jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac.Kwa maelekezo ya kufunga Firefox kwenye linux, angalia Install Firefox on Linux.

Usifunge Firefox kwa kutumia akaunti iliyopungukiwa ya Windows XP. Kwa maelezo zaidi, angalia nakala ilikujua Jinsi ya kujua aina yako ya akaunti katika Windows katika Microsoft.

Kwa watumiaji wa juu:Ukurasa wa kushusha, moja kwa moja huchagua toleo bora zaidi la Firefox kwa kompyuta yako na hutoa (mbegu) Kisakinishi. Kama unahitaji Kisakinishi kamili, nje ya mtandao au kama unataka kuwa na uchaguzi wa lugha na mfumo wa uendeshaji kwa Firefox ufungaji yako, tafadhali tembelea Ukurasa wa kushusha mifumo na lugha. Unaweza kushusha aidha 'Windows' (32-bit) Firefox toleo au, kwa mifumo ya uendeshaji 64-bit na Windows 7 na za juu, toleo jipya la 'Windows 64-bit' Firefox (tazama hii blog post kwa maelezo zaidi).

  1. Tembelea ukurasa huu wa kushusha Firefox katika browser yoyote, kama vile Microsoft Internet Explorer au Microsoft Edge. Ukurasa moja kwa moja itapendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako.

    again updated download Firefox
  2. Bonyeza kwenye Free Download ili kushusha kipakiaji cha Firefox. Ukurasa huu moja kwa moja itapendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako.
    • Ikiwa unatumia Microsoft Internet Explorer au Microsoft Edge, upau wa arifa itaonekana chini ya ukurasa wa downlodi pamoja na chaguzi la kuendesha Kisakinishi au kuhifadhi faili kwa kompyuta yako. Bonyeza Run kuanzisha.
    Fx-RUN-IE11Win7
    • Katika vivinjari vingine, unaweza kuhitaji kwanza kuokoa kisakinishi cha Firefox kwa kompyuta yako, kisha kufungua faili iliyopakuliwa.
      Note: Ukiona Fungua faili - Onyo la Usalama, bonyeza Run.
    9adf3cab7ac5be01d856c9d1020aa0da-1263064820-505-2.jpg
  3. Kisha bonyeza Install (tumefanya mchakato kama rahisi iwezekanavyo).
    firefox stub installer
    Hongera, umemaliza kufunga Firefox!
  4. Bonyeza mara mbili kwenye ikoni ya Firefox wakati wowote unataka kwenda online.
firefox icon

Unapata matatizo?

Haya ni baadhi ya makala ambayo yanaweza kukusaidia:

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More