Kunawirisha Firefox - kuweka upya add-ons na mazingira

Firefox Firefox Last updated: 04/27/2016 100% of users voted this helpful

Kipengele hiki kinapatikana katika Firefox kwa desktop au kompyuta za laptop.

Kipengele hiki kimeboreshwa katika toleo la karibuni la Firefox. Sasisha Firefox na toleo la karibuni kutumia toleo lililoboreshwa.

Ikiwa unapata matatizo na Firefox, kuweka upya inaweza kusaidia. Kipengele cha kunawirisha hunasa masuala mengi na kurejesha Firefox kwa hali chaguo-msingi yake huku ikihifadhi taarifa yako muhimu kama maalamisho, nywila, na tabo wazi.
Note: Panuzi zote na data zao zitaondolewa.

Kunawirisha Firefox

  1. Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Msaada menyu na kisha Habari la suluhisho.Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Firefox button, nenda kwenyeMsaada menyu ndogo na kisha chagua Habari la suluhisho.Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Help menyuJuu ya dirisha la Firefox, bonyeza Habari la suluhisho.
    Reset Firefox 1 - WinXPTroubleshooting info - winTroubleshooting info - macTroubleshooting info - lin
    Ikiwa huwezi kupata menyu ya Msaada, chapa about:support kwenye baa yako ya anwani ili kuleta ukurasa wa Habari la suluhisho .
  2. Bonyeza kifungo Seti upya Firefox} katika kona ya juu kulia ya kurasa ya Kusuluhisha Habari.
    Reset Firefox 2 - WinXPReset Firefox - Win - 1Reset Firefox - Mac - 1Reset Firefox - Lin - 1
  3. Kuendelea, bofya Seti upya Firefox katika dirisha la uthibitisho linalofungua.Kuendelea, bofya Seti upya Firefox katika karatasi ambayo latokea chini.
  4. Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. BofyaMaliza na Firefox itafunguka.Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya imefanyika na Firefox itafunguka.
  1. Bonyeza kifungo cha menyu New Fx Menu na kisha bonyeza msaada Help-29.
  2. Kutoka orodha ya Msaada Habari la suluhisho.
    Ikiwa huwezi kupata Msaada kwenye orodha, chapa 'kuhusu: msaada' katika baa ya anwani kuleta ukurasa wa 'Habari Kusuluhisha' .
  3. Nonyeza Seti upya Firefox… katika kona ya juu kulia ya ukurasa wa Kusuluhisha Habari.
    Reset 29 WinReset 29 MacReset 29 Lin
  4. Kuendelea, bonyeza Seti upya Firefox katika dirisha la uthibitisho inayofungua.
  5. Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya Maliza na Firefox itafungua.
  1. Bonyeza kifungo cha Onyesha upya Firefox moja kwa moja, kama wewe ni kuangalia ukurasa huu katika Firefox (itakuwa si kazi kama unatumia browser tofauti). Unaweza pia kupata kifungo Refresh juu ya kona ya juu kulia wa Firefox kuhusu: msaada Troubleshooting Information.
  2. Kuendelea, bonyeza Seti upya Firefox katika dirisha la uthibitisho inayofungua.
  3. Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya Maliza na Firefox itafungua.

Note: hapa pia Refresh Firefox Seti upya Firefox kifungo katika Kuanzisha Firefox katika modi salama dirisha, kama huwezi kuanza Firefox kawaida.

Je, kipengele cha kuweka upya kinafanya nini?

Mazingira yako yote ya Firefox na maelezo ya kibinafsi zinahifadhiwa kwenye folda ya profaili]. Kuweka upya kipengele hufanya kazi kwa kujenga folda mpya ya wasifu kwa ajili yako wakati wa kuhifadhi data zako muhimu.

Add-ons kwa kawaida huhifadhiwa ndani ya folda ya wasifu wa Firefox, kama vile extensions na mandhari, zitatolewa. Add-ons katika maeneo mengine, kama vile plugins, hazitaondolewa lakini mapendeleo yoyote yaliyobadilishwa (kama vile Plugins zilizo lemzawa) zitawekwa upya.

Firefox itaokoa vitu hivi:

  • Maalamisho
  • Historia ya kuvinjari
  • Nywila
  • Dirisha za kivinjari zilizo wazi, vikundi vya tabo na tabo
  • Kuki
  • Maelezo ya fomu za mtandao
  • Kamusi ya binafsi

Vitu hivi na mazingira zitatolewa:

Upanuzi na mandhari, ruhusa za tovuti, pendeleo zilizobadilishwa, injini za utafutaji zilizoongezewa, historia ya ushushaji, uhifadhi wa DOM, ithibati ya usalama na mazingira ya kifaa, download actions, mipangilio ya plugin, ubinafsishaji wa eneo la toolbar, mipangilio ya mtumiaji na vipengele vya kijamii vitatolewa.

Kumbuka: Profaili yako nze itahifadhiwa kwenye Desktop na jina "Old Firefox Data"". Ikiwa resetrefresh haikutatua tatizo lako unaweza kurejesha baadhi ya habari zililozookolewa na kuiga failia kwa profaili mpya uliyounda.. Kama huna haja ya folda hii tena, unapaswa kufuta kwa sababu ina habari nyeti.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More