Template:safemode

Revision Information
  • Revision id: 99388
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: Title change
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? La
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content
Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Firefox kifungo, nenda kwa Msaada Katika baa ya menu, bonyeza Msaada juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Msaada na kuchagua Anzisha upya na na programu zikiwa zimelemazwa ....Firefox itaanza na mazungumzo Firefox Salama Modi.
'Kumbuka:'. Unaweza pia kuanzisha Firefox katika Modi Salamakujiondoa katika Firefox na kisha nenda kwa Terminal andika: firefox -safe-mode
Utahitaji kutaja njia ya ufungaji wa Firefox (e.g. /usr/lib/firefox)

Bofya kifungo cha orodha New Fx Menu, bonyeza msaada Help-29 kisha chagua Kuanzisha upya na na programu zikiwa zimelemazwa....

Firefox itaanza na mazungumzo ya Firefox Modi Salama.
Note: Unaweza pia kuanzisha Firefox katika Modi Salama kwa kushikilia shift ukianzisha Firefox. shikilia option ukianzishag Firefox.kujiondoa katika Firefox na kisha nenda kwa Terminal andika: firefox -safe-mode
Utahitaji kutaja njia ya ufungaji wa Firefox (e.g. /usr/lib/firefox)