Firefox
Firefox
Last updated:
2 days ago
Bofya kifungo cha menyu
, bofya , chagua kisha bofya katika kisanduku cha mazungumzo cha Restart Firefox in Troubleshoot Mode?.
Kumbuka: Unaweza pia kuanzisha Firefox katika Hali ya Utatuzi kwa kushikilia kitufe cha Shift unapoanzisha Firefox.shikilia option ukianzishag Firefox.kujiondoa katika Firefox na kisha kwenda kwenye Terminal yako na kuendesha:
Huenda ukahitaji kutaja njia ya usakinishaji wa Firefox (kwa mfano /usr/lib/firefox).
firefox -safe-modeHuenda ukahitaji kutaja njia ya usakinishaji wa Firefox (kwa mfano /usr/lib/firefox).