Kama nchi yako haijatajwa, kaa macho. Tunafanya kazi kwa bidii ili kuleta Firefox kwa iOS kwa eneo lako. Jisajili kwa orodha ya barua pepe hapa.
Chukua Firefox na wewe kwenye vifaa vya iPad, iPhone iPod. Hapa ni jinsi ya kufunga hiyo.
- Fungua hifadhi ya programu kwenye kifaa chako na uende kwa ukurasa wa Firefox kwa iOS.
- Bomba .
- Bomba .
- Ingiza neno-siri lako la Apple ID, kisha bomba .
Wakati Firefox imekwisha kupakua, kifungo cha itaonekana kwenya ukurasa wa hifadhi ya programu. Ikoni ya Firefox pia itaonekana kwenye skirini yako ya nyumbani.