Angalia kurasa za mtandao katika mtazamo wa Msomaji

This article may be out of date.

An important change has been made to the English article on which this is based. Until this page is updated, you might find this helpful: View web pages in Reader View

Firefox for iOS Firefox for iOS Created:

Mtazamo wa msomaji huondoa picha, matangazo, video na menus kutoka ukurasa wa mtandao, hivyo unaweza kuzingatia kusoma. Msomaji mtazamo inapatikana kwa makala, blog posts na kurasa nyingine ya mtandao ambayo inaweza kuwa rahisi.

FXiOSreadview

Hapa ni jinsi ya kutumia hiyo:

  1. Bomba ikoni ya mtazamo wa msomaji Reader mode kwenye ukurasa ungependa kuona. (Kama kifungo haionekani, ukurasa basi haipatikani katika mtazamo wa Msomaji.)
  2. Ikoni itageuka kuwa rangi ya machungwa FXiOSread wakati ukurasa ipo katika Msomaji.
  3. Kutoka mtazamo wa msomaji, bomba ikoni ya mtazamo ya msomaji FXiOSread tena, na ukurasa itarudi kwa mtazamo wa kawaida.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More