Template:whatissynckey

Revision Information
  • Revision id: 99454
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: New translation
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? Ndio
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content

Ufunguo wa usawazishajiUfunguo wa Ahueni hutumika kutia fumbo data yako kabla ya kutumwa kwa seva za Mozilla. Fikiria kama ufunguo kwamba kufuli taarifa yako katika kuba kwamba tu wewe unaweza kufungua. Hii ina maana kwamba, wala Mozilla wala mtu mwingine yeyote anaweza kusoma habari yako bila ya kuwa na Sync KeyUfunguo wa Ahueni ya kufungua.