Template:aboutconfig

Katika baa ya anwani, andika 'about:config' kisha bofya Enter Return .

  • Ukurasa wa onyo la About:config "Hii inaweza haribu udhamini yako!" inaweza kuonekana. Bonyeza kifungo {button I'll be careful, I promise!, Kuendelea kwa ukurasa wa about:config.
Watu hawa wazuri walisaidia kuandika makala hii: vesper, Michael Buluma. Waweza kusaidia pia - angala jinsi gani.