Njia za mkato za Kibodi - Kufanya kazi ya kawaida Firefox haraka

Hii ni orodha ya njia za mkato za keyboard katika Mozilla Firefox. Kama umewezeshwa njia za mkato za Emacs-style katika GNOME, zitafanya kazi pia katika Firefox. Wakati uhariri wa Emacs inapitana na njia za mkato mkato za msingi (kama inavyotokea na Ctrl + K), mikato za Emacs zitachukua nafasi ya kwanza kama imelengwa ndani ya boksi maandishi (ambayo itakuwa ni pamoja na baa la eneo na la utafutaji) . Katika kesi hiyo unapaswa kutumia njia ya mkato mbadala ya keyboard ikiwa moja imeorodheshwa hapa chini.

Note: Mikato ya kibodi inaweza kuwa umeboreshwa kwa kutumia kiongezi kinachoweza kubinafisishwa.

Urambazaji

Amri Mkato
Nyuma Alt +
Backspace
command +
command + [
Delete
Alt +
Ctrl + [
Mbele Alt +
Shift + Backspace
command +
command + ]
Shift + Delete
Alt +
Ctrl + ]
Nyumbani Alt + Homeoption + home
Fungua Faili Ctrl + Ocommand + O
Pakia tena F5
Ctrl + Rcommand + R
Pakia tena (puuza kache) Ctrl + F5
Ctrl + Shift + R
command + shift + R
Komesha Esc
command + .

Ukurasa wa sasa

Amri Mkaro
Nenda chini ukurasa moja Page Downfn +
Nenda juu ukurasa moja Page Upfn +
Nenda chini ya ukurasa End
command +
Nenda juu ya ukurasa Home
command +
Songa hadi fremu nyingine F6
Rudi hadi fremu ya awali Shift + F6
Kuchapisha Ctrl + Pcommand + P
Hifadhi ukurasa kama Ctrl + Scommand + S
Zoom In Ctrl + +command + +
Zoom Out Ctrl + -command + -
Zoom Reset Ctrl + 0command + 0

Uhariri

Amri Mkati
Nakala Ctrl + Ccommand + C
Kata Ctrl + Xcommand + X
Futa Deldelete
Kuweka Ctrl + Vcommand + V
Kuweka (kama nakala wazi) Ctrl + Shift + Vcommand + shift + V
Fanya tena Ctrl + Ycommand + shift + ZCtrl + Shift + Z
Chagua Yote Ctrl + Acommand + A
Tendua Ctrl + Zcommand + Z

Utafutaji

Amri Mkato
Tafuta Ctrl + Fcommand + F
Tafuta Tena F3
Ctrl + Gcommand + G
Tafuta ya awali Shift + F3
Ctrl + Shift + Gcommand + shift + G
Tafuta haraka ndani ya kiungo-maandishi tu '
Tafuta haraka /
Kwa haraka, funga baa ya utafutaji Esc - wakati baa ya utafutaji imelengwa
Lenga baa ya utafutaji Ctrl + Kcommand + K
Ctrl + ECtrl + Jcommand + option + F
Kwa haraka kubadili kati ya injini ya utafutaji Ctrl +
Ctrl +
command +
command +
- wakati baa ya utafutaji imelengwa
Tazama menyu switch, kuongeza au kusimamia injini ya utafutaji

Alt +
Alt +
F4
option +
option +
- wakati baa ya utafutaji imelengwa

Windows na Tabo

Baadhi ya njia za mkato hizi zinahitaji tabo sasa kuchaguliwa kuwa "katika mwelekeo." Hivi sasa, njia pekee ya kufanya hivyo ni kuchagua kitu karibu na "tab into" tabo sasa, kwa mfano, kwa kupigaAlt + Dcommand + L kuchagua bar anwani, na kisha Shift + Tab mara mbili.
Amri Mkato
Funga Tabo Ctrl + W
Ctrl + F4
command + W
- isipokuwa kwa Tabo za programu
Funga Window Ctrl + Shift + W
Alt + F4
command + shift + W
Hamisha Tabo katika mtazamo kushoto Ctrl +
Ctrl +
command +
command +
Ctrl + Shift + Page Up
Hamisha Tabo katika mtazamo kulia Ctrl +
Ctrl +
command +
command +
Ctrl + Shift + Page Down
Hamisha Tabo katika mtazamo mwanzo Ctrl + Homecommand + home
Hamisha Tabo katika mtazamo mwisho Ctrl + Endcommand + end
Mute/Unmute Audio Ctrl + M
Tabo Mpya Ctrl + Tcommand + T
Dirisha Mpya Ctrl + Ncommand + N
Dirisha Jipya la binafsi Ctrl + Shift + Pcommand + shift + P
Tabo ijayo Ctrl + Tab
Ctrl + Page Down
control + tab
control + page down
command + option +
Funga anwani katika tabo mpya Alt + Enteroption + return - kutuka baa ya eneo na utafutaji
Tabo ya awali Ctrl + Shift + Tab
Ctrl + Page Up
control + shift + tab
control + page up
command + option +
Tendua kufunga tabo Ctrl + Shift + Tcommand + shift + T
Tendua kufunga Dirisha Ctrl + Shift + Ncommand + shift + N
Chagua Tabo 1 hadi 8 Ctrl + 1to8command + 1to8Alt + 1to8
Chagua tabo ya mwisho Ctrl + 9command + 9Alt + 9
Mtazamo wa vikundi vya tabo Ctrl + Shift + Ecommand + shift + E
Funga Mtazamo wa vikundi vya tabo Esc
Kundi la tabo ijayo Ctrl + `control + ` - only for some keyboard layouts
Kundi la tabo iliyopita Ctrl + Shift + `control + shift + ` - only for some keyboard layouts

Historia

Amri Mkato
Sidebar ya historia Ctrl + Hcommand + shift + H
Dirisha la maktaba (History) Ctrl + Shift + H
Clear Recent History Ctrl + Shift + Delcommand + shift + delete

Maalamisho

Amri Mkato
Alamisha tabo zote Ctrl + Shift + Dcommand + shift + D
Alamisha ukurasa huu Ctrl + Dcommand + D
Bookmarks sidebar Ctrl + B
Ctrl + I
command + BCtrl + B
Dirisha la maktaba (Maalamisho) Ctrl + Shift + Bcommand + shift + BCtrl + Shift + O

Zana

Amri Mkato
Downloads Ctrl + JCtrl + Shift + Ycommand + J
Add-ons Ctrl + Shift + Acommand + shift + A
Toggle Developer Tools F12
Ctrl + Shift + Icommand + alt + I
Web Console Ctrl + Shift + Kcommand + alt + K
Inspector Ctrl + Shift + Ccommand + alt + C
Debugger Ctrl + Shift + Scommand + alt + S
Style Editor Shift + F7
Profiler Shift + F5
Network Ctrl + Shift + Qcommand + alt + Q
Developer Toolbar Shift + F2
Responsive Design View Ctrl + Shift + Mcommand + alt + M
Scratchpad Shift + F4
Chanzo cha ukurasa Ctrl + Ucommand + U
Error ConsoleBrowser Console Ctrl + Shift + Jcommand + shift + J
Page Info command + ICtrl + I

Mtazamo wa PDF

Amri Mkato
Ukurasa ijayo N or J or
Ukurasa iliyopita P or K or
Kuza zaidi Ctrl + +command + +
Kuvuta nje Ctrl + -command + -
Mvuto wa moja kwa moja Ctrl + 0command + 0
Zungusha hati mbele R
Zungusha hati nyuma Shift + R
Badili hadi kwenye modi ya Uwasilishaji Ctrl + Alt + Pcommand + Alt + P
Geuza chombo cha mkono H
Kuzingatia nambari ya Ukurasa sanduku la pembejeo Ctrl + Alt + Gcommand + Alt + G

Zinginezo

Amri mkato
Malizia anwani ya .com Ctrl + Entercommand + return
Malizia anwani ya .net Shift + Entershift + return
Malizia anwani ya .org Ctrl + Shift + Entercommand + shift + return
Futa Kamilika otomatiki zilizochaguliwa Delshift + delete
Kugeuza skrini Kamili command+Shift+FF11
Toggle Menu Bar activation (showing it temporarily when hidden) Alt or F10Alt (KDE) or F10 (GNOME)
Kuonyesha / Ficha baa ya add-ons Ctrl + /command + /
Caret Browsing F7
chagua baa la eneo F6
Alt + D
Ctrl + L
command + L

Mikato za media

Amri mkato
Kugeuza Kucheza / Kusitisha mziki Space bar
Punguza sauti
Ongeza sauti
Toa Sauti Ctrl + command +
Rudi sauti Ctrl + command +
Rudi nyuma sekunde 15
Rudi nyuma 10 % Ctrl + command +
Nenda mbele 15 seconds
Nenda mbele 10 % Ctrl + command +
Nenda mwazno Home
Nenda mwisho End

Njia za mkato za Wasanidi

naweza pia kutumia mikato ya kibodi na zana za wasanidi katika Firefox. Angalia Keyboard shortcuts page kwenya Mozilla Developer Network.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More