Toleo la sasa la Thunderbird
Toleo | Vipengele Vipya | Makala kamili |
38 | Programu ya kalenda ya Lightning u kwa sasa imejumuishwa katika Thunderbird, nyingi ya gumzo na RSS bug zinazohusiana | Mapya katika Thunderbird 38.0 |
Roleo za kitambo za Thunderbird
Toleo | Vipengele Vipya | Makala kamili |
31 | Autocomplete sasa inalinganisha sehemu yoyote ya email au anwani, Kamilika otomatiki wakati wa kuandika kwa newsgroup ya barua pepe, NTLM uthibitisho imelemazwa | Mpya katika Thunderbird 31.0 |
24 | Kuimarishwa tagi kutafuta haraka, Orodha ya Utafutaji , Puuza nyuzi | New in Thunderbird 24 |