Kuvinjari kwa faragha katika Firefox kwa Android

Tumia tabo ya binafsi katika Firefox kwa Android kutembelea kurasa za mtandao bila kuhifadhi historia yako, nywila au upendeleo tovuti.

Je Kuvinjari kwa faragha haitahifadhi nini?

 • Kurasa ulizotembelea
 • Fomu na viingilio vya utafutaji
 • Nywila
 • Pakio (faili zilizopakuli zitahifadhiwa kwa kifaa chako, lakini hazitaonekana katika historia ya shusha katika Firefox)
 • Kuki
 • Faili za Muda za Internet

Pata uzoefu wa kweli wa kuvinjari na Firefox kwa Android. Tumia tabo za binafsi kutembelea tovuti bila kuwa chanzo chake au msisimko.

Kuvinjari kwa faragha ita:

 • zuia historia, nywila na viingilio kuhifadhiwa
 • Kuacha kujaza fomu kiotomatiki
 • Kuzuia kuki
 • Kuzuia files za muda za Internet
 • Kuzuia add-on zingine ya kufuatilia kwenye kurasa za mtandao kutembelea. (Tip: Unaweza kuzima hii wakati wowote. Angalia Tracking Protection in Firefox for Android)

Fungua tabo ya faragha

 • Fungua tabo wazi na ya faragha: Bomba menyu ya Menu (chini ya skirini kwa vifaa vingine au kona ya juu kulia wa browser) , kisha New Private Tab.
 • Funga kiungo katika tabo binafsi:Kwa muda, bomba kwenye kiungo kuleta orodha na kuchagua Open link in Private Tab.

Tazama tabo, binafsi zilizowazi

Bomba ikoni ya tabo katika juu ya skrini yako, kisha bomba kinyago picha kwenda kuona maeneo yaliyofunguliwa katika Kuvinjari kwa faragha.

private tabs m36 private browsing

Kufunga tabo, bomba X karibu na tao unayotaka kufunga, kisha Close Private Tabs.

Warning: Kuvinjari kwa faragha haikufanyi wewe kuwa bila majina kwenye mtandao. Mtoa huduma wako wa Internet, mwajiri (kama watumia WiFi mwajiri wako, kwa mfano), au maeneo yenyewe bado yanaweza kufuatilia ni kurasa gani kutembelea.
// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support