Firefox for iOS
Firefox for iOS
Created:
Alamisha kurasa yako uipendayo ili uweze kuizuru baadaye.
Alamisha Ukururasa
- Fungua ukurasa wa mtandao unataka kuweka alamisho.
- Bomba nyota katika orodha ya urambazaji chini ya skirini.
Nyota itageuka kuwa bluu
wakati ukurasa wako imealamishwa.
Kama hauoni nyota, rejea juu ya ukurasa mpaka baa ya urambazaji itakapo onekana.
Ondoa Alamisho
- Fungua ukurasa wa mtandao unataka kuweka alamisho.
- Bomba nyota ya bluu kuondoa alamisho.
Nyota itarejea kuwa muhtasari
alamisho linapoondolewa.
Kama hauoni nyota, rejea juu ya ukurasa mpaka baa ya urambazaji itakapo onekana.