Je, mimi kufunga Firefox kwenye kifaa cha Android?

Kuona kama kifaa chako kinaungwa mkonosoma Je, Firefox itafanya kazi kwenye kifaa yangu ya simu?

Prerequisites

Kama umeweka na kuanzisha upatanishi wa toleo yoyote ya Firefox Beta, Aurora, au Night, lazima kufuta toleo hilo kabla ya kuanzisha Sync kwenye Firefox kwa Android.

Kupakua na kufunga Firefox

 1. Kushusha na kufunga Firefox kwenye kifaa chako nenda tu kwenye mozilla.org/mobile na bomba kwenye shusha kifungo.

  install_0

  Programu ya Google Play itafungua katika ukurasa wa ufungaji wa Firefox.
 2. Bonyeza kifungo cha Kufunga .

  install_1

Ruhusa #Kubalia na kuanza download.


 1. install_3

  Ufungaji utaanza.

  install_5

 2. Chagua Ruhusu sawazisho moja kwa moja kuangalia sanduku kwa kuwa na uhakika wewe kupata updates usalama kila baada ya wiki sita.

  install_update

 3. Hatimaye, Bomba Fungua

  install_open Afrika Kusini

 1. install_open

// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support