Ikoni ya menyu ya Firefox inakosa kwenye Android - jinsi ya kupata menyu

Baadhi vifaa vya Android vina kifungo cha menyu iliyojengwa moja kwa moja kwenye kifaa. Katika kesi hizi, Firefox kwa Android huficha ikoni ya menyu yake android menu . You can still access the Firefox menu by tapping on the device's menu button:

android menu hardware

Wapi naweza kupata kifungo cha menyu?

Kifungo cha menyu kwa kawaida iko chini ya kifaa chako, karibu na vifungo vya nyumbani, utafutaji na urambazaji . Kifungo hutofautiana katika muonekano lakini inaweza kuangalia sawa na moja ya vifungo orodha hapa chini.

hardware menu button 3
hardware menu 1
hardware 2
// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support