Majibu ya jukwaa - kulemaza kusasisha kiotomatiki

Hujambo,

Note: Kulemaza kusasisha kiotomatiki katika Firefox haifai. Toleo la karibuni la Firefox hupata mara kwa mara masasisho ya usalama na kuwalinda salama salmini kwenye mtandao.

Hata hivyo, ikiwa kwa kweli unahitaji kuzima masasisho ya moja kwa moja ya Firefox, tafadhali fuata hatua hizi: Katika dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha new-fx-menu-button menyu katika kona ya juu kulia, kisha chagua Chaguzi kipengee cha menyu.

  1. Kutoka dirisha la Chaguzi, bonyeza jopo la Advanced.
  2. Katika jopo la Ziada (Advanced), bonyeza tabo Update.
  3. Chni ya Firefox updates , chagua Never check for updates.
  4. Sasa Bonyeza kifungo OK kuhifadhi mabadiliko.

Tafadhali ripoti kama hii imekusaidia wewe.

Asante.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More