Majibu ya jukwaa - Programu hasidi (Windows Pekee)

Wakati mwingine tatizo na Firefox inaweza kuwa na matokeo ya programu hasidi iliyosakinishwa kwenye kompyuta, ambayo huna ufahamu.

Unaweza kujaribu programu hizi za bure kuangalia programu hasidi, ambayo kufanya kazi na antivirus yako:

Microsoft Security Essentials ni antivirus nzuri ya kudumu kwa ajili ya Windows 7 / Vista / XP kama huna tayari moja. Windows 8 ina antivirus iliyojengwa ndai yake tayari.

Habari zaidi yanaweza kupatikana katika makala ya troubleshoot masuala ya Firefox ynatoasababishwa na programu hasidi.


Je, hii ilitatua matatizo yako? Tafadhali ripoti kwetu sisi!

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More