Faragha na Usalama katika Firefox OS

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Mozilla inajali kuhusu faragha na usalama wako kwenye mtandao Sera ya faragha ya Mozilla. Firefox OS inawezesha kuongeza ulinzi kama ifuatavyo:

Nawezaje kuwezesha Do Not Track kwenya simu ya Firefox OS?

Kwa kubonyeza makalala iliyounganishwa hapa chini utajifunza jinsi ya kuwezesha do-not-track kwenye simu ya Firefox OS.

Do not track kwa Firefox OS

Nawezaje kuwezesha kufuli kwa simu ya Firefox OS

Kwa kubonyeza makalala iliyounganishwa hapa chini utajifunza jinsi ya kuwezesha kufuli kwenye simu ya Firefox OS.

Wezesha kifungo cha skrini

Nitatumiajee PIN ya SIM?

Kwa kubonyeza makalala iliyounganishwa hapa chini utajifunza jinsi ya kutengeza kuwezesha PIN ya SIM kwenye simu ya Firefox OS.

Weka SIM PIN yako

Nawezaje kufuta historia ya kuvinjari na kuki? ya simu ya Firefox Os

Kufuta historia yako ya kuvinjari na kuki katika Firefox OS, ona makala yafuatayo

Futa historia ya kuvinjari na kuki

Je, nawezaje kutumia ikoni ya kufuli katika Firefox OS?

Angalia kwa ikoni ya kufuli padlock katika Firefox kabla ya kuingiza taarifa zozote za kibinafsi (nywila, kadi za mkopo, anwani, nk) ndani ya mtandao.

// These fine people helped write this article:Michael Buluma. You can help too - find out how.
Jitolee kwa ajili ya Mozilla Support