Huwezi kufuta ujumbe

Kama huwezi kufuta ujumbe katika Thunderbird, inaweza kusababishwa na kuharibika takataka folder.

Hapa ni jinsi ya kufuta kuharibika takataka folder na kujenga upya:

  1. Kwanza, kufungua folder yako ya Profaili:

Kulia juu ya dirisha ya Thunderbird, bonyeza kitufe cha menyu New Fx Menu, kisha chagua Help, na kisha Troubleshooting Information. The tabo ya Maelezo ya Utatuzi itafungua.

    • chini ya maombi Misingi ,

bonyeza Onyesha FoldaOnyesha katika Kitafutajifungua directory. Dirisha na profile yako failifolda itafunguka.

  1. Funga Thunderbird.
  2. Funga Mail (or ImapMail) folder katika faili meneja yako (kulingana na kama unatumia POP au IMAP na akaunti iliyoathirika).
  3. Fungua folda na barua ya jina ya seva inayoingia (kama imap.googlemail.com au pop.googlemail.com).
  4. Chagua Trash na Trash.msf

faili na kuzifuta. Katika baadhi ya akaunti, hizi zinaweza kuitwa Bin au Deleted.

  1. Anzisha Thunderbird.
    • Kama unatumia akaunti IMAP, mpya Trash folder itakuwa automaticely zilizoundwa na ya Thunderbird.
    • Kama unatumia akaunti ya Pop:
      1. Katika orodha ya folda, haki click jina akaunti yako na kuchagua New folder...
      2. Andika Trash kama jina ya folda na kuthibitisha kwa kubonyeza Create folder.

Folder ya takataka itaonekana na uwezo wa kufuta barua tena.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More