Epuka na ripoti ulaghai wa msaada wa kiufundi Mozilla

Mozilla haina malipo kwa susho, uboreshaji au msaada wa kiufundi, na haiidhinishi kampuni yoyote ambayo inafanya hivyo. Makampuni ambayo yanauliza malipo au maelezo ya kibinafsi kwa ajili ya kufunga, kuhuisha au kutoa msaada kwa Firefox au Thunderbird hazishirikiani na Mozilla na ziepukwe.

Ulaghai wa kawaida wa msaada wa kiufundi

  • Maonyo ya virusi ambazo hukuambia kipiga simu, kushusha programu au kuruhusu scan za virusi.
  • Makampuni ambayo kutumia majina ya bidhaa ya Mozilla na nembo ili kukulipisha kwa ajili ya kufunga, fixing na kuhuisha Firefox au Thunderbird.
  • Simu kutoka "wawakilishi ya Mozilla" kukushinikiza katika kulipa kwa ajili ya huduma au kupata kufikia kompyuta yako.

Ukijikuta katika yoyote ya ulaghai hizi, tembelea Federal Trade Commission (USA) au Econsumer.gov (international).

Kujikinga na ulaghai

na kampuni nyingine yoyote ambayo inarumia jina Mozilla au nembo ya kudai uhusiano na Mozilla inapaswa kuripotiwa hapa.

  • Mozilla hatoi msaada wa simu. Usipige simu au kutoa taarifa kwa mawakala wakidai kuwakilisha Mozilla.

Kuripoti ukiukaji alama ya biashara

Saidia kusimamisha scammers. Ukiona wengine wakitumia jina au alama ya Firefox au Thunderbird ili kuwakilisha Mozilla, wasilisha ripoti ya udanganyifu.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More