Template:changesyncpw

  1. Bofya kifungo cha orodhaNew Fx Menu na uchague OptionsPreferences
  2. Nenda Kwa jopo la Sync na bonyeza mshale karibu na Dhibiti Akaunti kupanua orodha.
  3. Bonyeza Badilisha Nenosiri. Dirisha la Badilisha nenosiri lako litatokea.
  4. Andika nenosiri lako mpya na bonyeza Change Password kumalizia.
  5. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.
  1. Bofya kifungo cha orodhaNew Fx Menu na uchague OptionsPreferences
  2. Bonyeza tabo ya Sync upande wa kushoto wa jopo la Sync.
  3. Katika jopo la Sync , bonyeza kioungo cha 'Manage Account' kufungua ukurusa wa Firefox Accounts .
  4. Katika ukurawa wa Firefox Hesabu za , bonyeza kifungo cha Change karibu na Neno la siri .
  5. Andika Nywila yako ya zamani na mpya katika nyanja zao na kisha bonyeza kifungo Badilisha kumaliza.
  6. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.
  1. Bofya kifungo cha orodhaNew Fx Menu na uchague OptionsPreferences
  2. Nenda Kwa jopo la Sync na bonyeza mshale karibu na Dhibiti Akaunti kupanua orodha.
  3. Bonyeza Badilisha Nenosiri. Dirisha la Badilisha nenosiri lako litatokea.
  4. Andika nenosiri lako mpya na bonyeza Change Password.
  5. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More