Wewe ni wa kushangaza! Hii ni jinsi ya kueneza neno na kuendelea Webmaker nishati hai baada ya tukio mafanikio.
- Andika nakala ya blogu ambayo inajumuisha picha za hatua zote na viungo mambo ambayo watu alifanya.
- Twiti hio hashtag #makerparty na chapisha kwa orodha ya barua ya jumuiya
- Fuatilia wahudumu wako. Pata maoni juu ya tukio lako na tujulishe jinsi mchakato inaweza kuboreshwa. Tuandikie makerparty@mozilla.org
- Jaribu vifaa mbalimbali vya kufundisha katika webmaker.org/teach Na Remix yao kulingana na tukio lako ijayo!
- Tumia uzoefu wako kusaidia kuboresha mchakato wa ushauri.