Jinsi ya kushusha na kufunga Firefox katika Windows

Revision Information
  • Revision id: 105159
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: Update
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? La
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content

Makala hii inaelezea jinsi ya kufunga Firefox kwenye Windows.

Makala hii inatumika tu kwa Windows. Kwa maelekezo ya kufunga Firefox kwenye Mac, angalia Jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac.Kwa maelekezo ya kufunga Firefox kwenye linux, angalia Install Firefox on Linux.
Kabla ya kufunga Firefox:

  1. Tembelea ukurasa huu wa kushusha Firefox katika browser yoyote, kama vile Microsoft Internet Explorer. Ukurasa moja kwa moja itapendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako.

    again updated download Firefox
  2. Bonyeza kwenye Free Download ili kushusha kipakiaji cha Firefox. Ukurasa huu moja kwa moja itapendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako.
    • Ikiwa unatumia Microsoft Internet Explorer, upau wa arifa itaonekana chini ya ukurasa wa downlodi pamoja na chaguzi la kuendesha Kisakinishi au kuhifadhi faili kwa kompyuta yako. Bonyeza Run kuanzisha.
    Fx-RUN-IE11Win7
    • Katika vivinjari vingine, unaweza kuhitaji kwanza kuokoa kisakinishi cha Firefox kwa kompyuta yako, kisha kufungua faili iliyopakuliwa.
      Note: Ukiona Fungua faili - Onyo la Usalama, bonyeza Run.
    9adf3cab7ac5be01d856c9d1020aa0da-1263064820-505-2.jpg
  3. Kisha bonyeza Install (tumefanya mchakato kama rahisi iwezekanavyo).
    firefox stub installer
    Hongera, umemaliza kufunga Firefox!
  4. Bonyeza mara mbili kwenye ikoni ya Firefox wakati wowote unataka kwenda online.
firefox icon

Unapata matatizo?

Haya ni baadhi ya makala ambayo yanaweza kukusaidia: