Webmaker ni nini?

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Webmaker ni mradi wa Mozilla Foundation na imejitolea na kukusaidia wewe kutengeneza kitu cha ajabu kwenye mtandao.

Mabilioni ya watu wanatumia mtandao kila siku, lakini ni wangapi wao wanatumia badala ya kuitengeneza? Tunataka kuonyesha dunia jinsi ya kutengeneza kitu ambacho watapata fahari kwayo, na muhimu zaidi, kuelewa jinsi mtandao yenyewe yafanya kazi.

Webmaker.org inatoa seti ya zana za ubunifu, rasilimali za mafundisho, and viongozi vya tukio, kuhamisha raia kutoka kwa watumiaji hadi watunga.

Tembelea ukurasa kutuhusu kujifunza mengi

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More