Weka Adobe Flash "bonyeza kucheza" katika Firefox

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Baadhi ya tovuti hutumia Adobe Flash kuonyesha maudhui. Hata hivyo, washambuliaji wanaweza pia kutumia dosari la usalama katika Flash kuendesha sofware hatarishi kwenye kompyuta yako na kupata huduma kwa mfumo wako.

Njia moja ya kujikinga ni kwa kulemaza au kutoa Flash, lakini kama tovuti yako ya kuaminika itahitaji Flash, unaweza kubadilisha mazingira yako Plugin ili Flash itaendeshwa tu unapobonyeza kuanzisha.

Hapa ni jinsi ya kuweka Flash kuendesha inapohitajika:

  1. Bonyeza menyu New Fx Menu kisha chagua Add-ons. Tabo la The Add-ons Manager litafunguka.

  2. Katika Tabo la The Add-ons Manager, chagua Plugins paneli.
  3. Tafuta Shockwave Flash kwenye orodha yako. Iweke kwa Uliza Kuamsha.
    Flash-Ask-to-Activate

Wakati mwingine unapotembelea tovuti ambayo inahitaji Flash, bonyeza Kuamsha Adobe Flash haraka ili kuruhusu Plugin, ikiwa inahitajika *:

activate flash prompt

Unapobonyeza chaguzi na kuruhusu Plugin, maudhui zinazokosekana zitapakiwa kama kawaida. Kama haifanyi hivyo, pakia ukurasa upya (bonyeza Pakia upya FxReloadButton kifungo katika upau wa anwani) kisha jaribu tena.

*Kabla ya kuamsha Flash: Ruhusu Flash tu kwa ajili ya tovuti zinazoaminika na watoa maudhui. Kuepuka uanzishaji Flash kwa ajili ya matangazo au maudhui ya tatu, au katika maeneo ambayo huna uaminifu.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More