Vidokezo kwa ajili ya ununuzi salama mtandaoni

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Wapenda urahisi wa manunuzi kwenye mtandao lakini una wasiwasi kuhusu wizi wa utambulisho? Firefox ina vitendakazi vya kuwezesha kuweka habari yako salama. Kwa kufuata mashauri haya rahisi, utapata uzoefu salama na bila ya matatizo.

Kidokezo 1: Nunua tu kutoka maeneo yanayoaminiwa na salama

Angalia kwa kufuli alama juu ya baa ya anwani kabla ya kuwasilisha habari yoyote ya binafsi. Kufuli inaonyesha kwamba uhusiano wako ni salama, hivyo wezi wa utambulisho hawezi "kusikiliza" na kutafuta habari zako za binafsi

Kubofya kwenye icon kwenye baa ya anwani yako pia itakuambia ambaye anamiliki tovuti na ambaye alithibitisha. Habari hii husaidia kuepuka maeneo bandia ambayo hujaribu kukuhadaa kuwapa habari yako.

Paypal - Green padlock - Mac

Kwa habari zaidi, angalia unavoweza kujua ikiwa uhusiano wangu na tovuti ni salama

Kidokezo 2: Tumia manenosiri thabiti

Epuka kujenga manenosiri ambayo ni rahisi kubahatisha, na jaribu kutumia nywila tofauti katika akaunti zako zote mtandaoni. Fuata vidokezo hivi ili kuweka manenosiri thabiti ambazo ni rahisi kwako wewe kukumbuka, lakini ni vigumu kwa wengine kutambua.

Kidokezo 3: Linda habari yako ya kuvinjari

Wakati unashiriki kompyuta yako na wengine, fuata vidokezo hizi kuweka habari yako, kama vile historia ya kuvinjari na logins, binafsi:

  • Tumia Private Browsing mode wakati wa ununuzi ili kuzuia historia, mapendeleo yako ya tovuti au logins kuhifadhiwa na kupatikana kwa wengine. Private Browsing huzuia kuki kuzuia wadanganyifu na snoops zisifuatilie mwenendo wako.
private browsing - fx29 - win8private browsing - fx29 - macprivate browsing - fx29 - linux
  • Kama ukisahau kutumia hali ya Private Browsing katika kompyuta inayotumiwa na watu wengi, usiwe na wasiwasi. Bado unaweza kutumia kifungo cha kusahau forget button gray haraka kufuta taarifa yako ya hivi karibuni bila kuathiri wengine.
forget controls
  • Tumia Master Password kulinda habari yako ya kuingia iliyohifadhiwa. Hii inazuia watu wengine kutokana na kutumia taarifa yako iliyohifadhiwaza kuingia kwa akaunti yako au kifaa kilichoibiwa.
Epuka kutumia kompyuta ya umma katika mtandao wireless wazi, kama katika duka la kahawa, kompyuta maabara au maktaba.mtandao wireless wazi bado hukuweka katika hatari ya wizi habari.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More