Ujanibishaji wa Msaada Katika Mozilla

(Redirected from Localize Firefox Help)

This article may be out of date.

An important change has been made to the English article on which this is based. Until this page is updated, you might find this helpful: How to contribute to article localization

Contributors Contributors Created: 12/08/2015 90% of users voted this helpful

Asante kusoma maneno haya - ina maana unataka kuchangia kimataifa Mozilla Msaada. Zaidi ya nusu ya watumiaji wote Firefox huzungumza lugha zingine kando na Kiingereza na sisi hutegemea wachangiaji kama wewe kufanya msaada kupatikana kwa watu wote duniani kote.

Sisi daima furahia kuwakaribisha watafsiri wapya kwa kikundi chetu. Tafadhali angalia orodha ya lugha zinazopatikana, ili kuona kama tayari tunayo lugha yako. Iwapo hatuna lugha yako, tungependa kufanya kazi na wewe kwa kuiongeza kwa kurasa zetu. Ukiona lugha katika orodha, unapaswa kuwa na uwezo wa bonyeza jina lake na kuona Kiongozi au viongozi. Unaweza kuwasiliana nao kujifunza zaidi juu ya kutafsiri makala ya SUMO katika lugha yako.

Nataka kuwa Mtafsiri. Nifanye nini?

Kwanza mambo ya kwanza:

  • Mara baada kufungua akaunti, tafadhali tembelea jukwaa la jamii ya l10n na ujitambulishe. Jamii yetu inaweza kujibu maswali yako yote na kusaidia wewe kupata kuanza.

Je ikiwa kuna tayari ni watu wanaotafsiri katika lugha wangu?

Ikiwa unaweza kuona lugha yako kwenye orodha ya lugha zinazopatikana unapaswa bonyeza jina la kiongozi wa lgha na kutuma kwake ujumbe wa binafsi kuwasiliana. Usione aibu, watakuwa na furaha kusikia kutoka kwako - tulivyo zaidi, ndivyo vyema!

Ikiwa kiongozi wa lugha hajibu baada ya kuzingatia kiasi cha muda (siku chache angalau - wangeweza kuwa katika siku za sikukuu au wameshikana sana), jaribu kiongozi wa lugha mwingine au tuma ujumbe wa binafsi kwa Michał, ambaye anaweza kukusaidia kupata kuanza.

Itakuwaje iwapo hakuna maudhui inapatikana katika lugha yangu?

Ikiwa hauoni lugha yako ikiwaimetajwa katika orodha ya lugha zinazopatikana, tafadhali tuma ujumbe wa binafsi kwa Michał na kwa pamoja mtajadiliana nini cha kufanya kuhusu hili.

Baada ya hii, tafadhali soma How does support localization work?
Je, una maswali yoyote? Je, unahitaji msaada wakati unapotafsiri? Tafadhali tueleze juu katika jumuiya ya l10n.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More