Tumia tabo katika Firefox kwa iOS
Revision Information
- Revision id: 104348
- Ilibuniwa:
- Muumba: Michael Buluma
- Comment: update
- Reviewed: Ndio
- Reviewed:
- Reviewed by: buluma_michael
- Is approved? Ndio
- Is current revision? La
- Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content
Tumia tabo kufungua, kutazama na kusimamia kurasa nyingi za mtandao katika Firefox kwa iOS.
Fungua Tabo
Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.
- Bomba alama ya kuongeza juu ya skrini.
Funga Tabo
Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.
- Bomba x kwenye tabo unataka kufunga.
Dokezo: Unaweza pia kupitisha kidole kwenya tabo kwa upande kuifunga.
Tazama Tabo
Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.
Tabo yako wazi itaonyesha kwenye skrini:
- Mtazamo wa tabo iiyofinyika
- Mtazamo wa tabo kwa ukubwa halisi
Kubadili maonyesho ya tabo yako, tazama Kubadilisha mtazamo wa orodha ya tabo katika Firefox kwa iOS.