Jibu juu au chini ya Nakala iloyonukuliwa

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Wakati anapojibu ujumbe, baadhi ya watu hupenda kuongeza maoni yao juu ya ujumbe wa awali, wakati wengine wanapendelea kuongeza maoni yao baada ya ujumbe wa awali. Thunderbird inaweza kubinafsishwa kuweka mshale wa uhariri juu au chini ya ujumbe wa awali.

Msimamo wa mshale inategemea Muundo na mazingira kwa ajili ya akaunti. Ili kupata mazingira haya, chagua VyomboBadilisha > Mipangilio ya Akaunti .

reply below

Wakati unapojibu ujumbe, umshale wa uhariri moja kwa moja huwekwa chini ya ujumbe wa awali.

reply cursor below

Kama utabadilisha muundo na mazingira kwa anzisha jibu langu juu ya Nukuu, mshale itaingizwa juu ya maandishi ya awali.

reply cursor above

Rasilimali zaidi

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More