Ongeza kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako
Revision Information
- Revision id: 104351
- Ilibuniwa:
- Muumba: Michael Buluma
- Comment: update
- Reviewed: Ndio
- Reviewed:
- Reviewed by: buluma_michael
- Is approved? Ndio
- Is current revision? La
- Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content
Huna muda wa kutosha? Hifadhi kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako na kuzisoma baadaye kwenye iPhone yako, iPad au iPod.
Ongeza ukurasa kwa orodha ya Masomo yako
- The template "shareios" does not exist or has no approved revision.
- Bomba Firefox kwenye orodha inayotokea juu.
- Weka alama hundi karibu na kama haina. (Hiari: Ondoa alama karibu na kama hutaki kuweka alama ukurasa.)
- Bomba Ongeza kumaliza.
Kuongeza ukurasa kutoka Msomaji
- Bomba ikoni ya msomaji .
- Bomba ikoni Add to Reading List juu ya skrini.
- Kuondoa ukurasa, bomba ikoni ya taka
Tazama orodha ya Masomo yako
Tayari kusoma? Fuata hatua hizi ili kutazama orodha ya masomo yako:
- Bomba baa ya anwani ili kuleta skirini ya nyumbani.
- Bomba ikoni ya orodha ya masomo kuangalia orodha yako.
- Kuondoa ukurasa wa mtandao, swipe kushoto na bomba Ondoa.