Hakuna SMS baada ya kubadilisha kutoka iPhone

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Je, watumiaji wa iPhone hawawezi kutuma ujumbe wa maandishi kwako baada ya kuhama kutoka iPhone hadi Firefox OS? Hii ni kwa sababu ujumbe wa maandishi kati ya watumiaji wa iPhone hazitolewi kama ujumbe za kawaida; badala yake, zinbadilishwa na watumishi Apple katika mfumo wa iMessages kabla kupelekwa kwa kifaa chako.

Ufumbuzi ni rahisi - lemaza iMessages katika kifaa iPhone yako kabla ya kuhamisha SIM kadi yako kwa simu ya Firefox OS. Hapa ni jinsi ya kufanya hivyo:

  1. Zindua 'Mazingira' kwenye iPhone yako.
  2. Sogeza chini na bomba kwenye JumbeMipangilio ya ujumbe.
  3. Juu ya screen, gueza iMessages kuwa 'Mbali' .
  4. Kwisa! Ondoa SIM kadi yako kutoka iPhone yako, kuiweka katika simu yako ya Firefox OS na kufurahia.
Baada ya umefanya kulemaza iMessages, ujumbe zinazoingia kutoka kwa watumiaji wengine iPhone lazima kuwasili kama ujumbe za kawaida wa maandishi. Hii inaweza kuchukua hadi siku tatu, kwa kutegemea seva za Apple.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More