Nini mpya katika Firefox kwa iOS (toleo 4.0)

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Karibu tena! Sasisho hii inakuja na maboresho zaidi kukupa laini, ujumuishaji zaidi katika uzoefu wa kuvinjari. Ongeza wijeti mpya ya Firefox kwa skirini yako ya Leo na kupata tabo yako mpya na viungo kunakiliwa hata kwa kasi. Unaweza pia kupata maalamisho yako katika tu hatua chache kupitia baa ya kutafuta. Sisi pia tunakupa udhibiti zaidi juu ya onyo ya cheti.

Firefox katika skrini yako ya Leo

Inapatikana kwenye iOS 9 na za juu. Tembelea ukurasa wa Apple Support ukurasa kujifunza jinsi ya kupata nambari ya toleo lako.

Unapoongeza wijeti ya Firefox kwa skrini Leo yako, unaweza kufungua tabo mpya haraka au kutembelea viungo vilivyonakiliwa katika ubao klipu yako.

today ios 4.0

Kama kifaa yako imefungwa, Firefox itaonekana katika mtazamo wa Leo na kiungo kilichonakiliwa kuwekwa kwa siri ili kulinda faragha yako.

Fikia alamisho yako kwa kutumia baa ya utafutaji ( Baa ya Ajabu )

Unapoingiza maandishi katika baa ya kutafuta, Firefox itaonyesha matokeo inayolingana kutoka maalamisho yako, pamoja na matokeo ya injini za utafutaji. Andika utafutaji wako na maalamisho yako itaonekana na nyota karibu nazo.

bookmark results ios

Batilisha makosa ya cheti

Kimsingi, Firefox inaweka maelezo yako salama na kukuonyeni wakati uhusiano wa tovuti sio salama. Ikiwa una hakika kwamba unataka kufikia tovuti isiyo salama, Firefox sasa inatoa fursa kuruhusu wewe kubatilisha onyo hii.

override cert ios 4.0
Tazama Onyo ya cheti katika Firefox kwa iOS ili kujifunza zaidi.

Chapisha kurasa za mtandao

Chapisha kurasa za mtandao kupitia kichapishaji chako cha Airprint kwa kugusa Kitufe cha kushiriki share button ios chini ya skrini, ikifuatiwa na ikoni ya kuchapisha.

print ios 4.0

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More