Ni toleo lipi la Firefox ambayo natumia?

Revision Information
  • Revision id: 111350
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: sw update
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? Ndio
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content

Toleo jipya la Firefox kwa iOS lina visasisho vya usalama vya karibuni na vipengele. Fuata hatua hizi ili kujua toleo unayotumia:

  1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

    tab icon ios
  2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

    'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
    settings ios
  3. Nenda chini katika sehemu ya About. Nambari ya toleo imeorodheshwa hapo.