Majibu ya jukwaa - Angalia pembezo za chapa

Revision Information
  • Revision id: 103505
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: En to Sw
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? Ndio
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content

Kama huwezi kuona maudhui yoyote kwenye kurasa wewe iliyochapishwa au katika kihakiki chapishi, sababu inaweza kuwa pembezo za chapa ambayo ni imewekwa kubwa mno.

  1. Ili kuangalia pemebezo, tunahitaji kwenda kwa File > Page Setup.
  2. Mara hii ikishafanyika, kubadili hadi yabo ya Margins & Header/Footer.
  3. Angalia nini imewekwa pale chini ya Margins.

Zifuatazo ni maadili ya msingi ya Margins:

Kulia: 12.7

Juu: 12.7

Kushoto: 12.7

Chini: 12.7

Angalia maadili haya ipasavyo na kuzibadilisha kama ni lazima.