Kubadilisha mtazamo wa orodha ya tabo katika Firefox kwa iOS

Revision Information
  • Revision id: 104350
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: update
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? Ndio
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content

Watumia Firefox kwenye iPhone au iPod ya kugusa? Firefox inakuwezesha kubadili ukubwa wa tabo yako kwenye orodha ya tabo, ikiifanya rahisi kuona kwenye skrini ndogo.

Note: Kipengele hiki haipatikani kwenye iPad.

Fanya tabo kuwa ndogo

Ukitaka kupunguza scrolling, weka Firefox kutumia Compact Tabo kuona zaidi katika mtazamo mmoja.

  1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

    tab icon ios
  2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

    'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
    settings ios
  3. Bomba kubadili karibu na Tumia Compact Tabo kurejea kwenye: switchonios
    FxiOS-compact-tab-view

Mtazamo wa kawaida

Ili kuona kubwa, lakini tabo chache kwa orodha ya yako ya tabo, lemaza Compact Tabo:

  1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

    tab icon ios
  2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

    'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
    settings ios
  3. Bomba swichi karibu na Tumia Compact Tabo kuizima: switchoffios
    FxiOS-regular-tab-view
Pata maelezo zaidi kuhusu tabo kwa kutembelea Tumia tabo katika Firefox kwa iOS.