Jinsi ya kuondoa Firefox cache

Revision Information
  • Revision id: 103526
  • Ilibuniwa:
  • Muumba: Michael Buluma
  • Comment: En to Sw
  • Reviewed: Ndio
  • Reviewed:
  • Reviewed by: buluma_michael
  • Is approved? Ndio
  • Is current revision? La
  • Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content

Kache ya Firefox kwa muda huhifadhi picha, maandiko na sehemu nyingine za tovuti unazotembelea ili kuharakisha uzoefu wako wa kuvinjari. Makala hii inaelezea jinsi ya kufuta kache.

Futa kache

  1. Bofya kifungo cha orodhaNew Fx Menu na uchague OptionsPreferences
  2. Chagua Advanced.
  3. Bonyeza kwenye tabo ya Network.
  4. Katika sehemu ya Cached Web Content, bonyeza Clear Now.
    Clear Cache Win1 fx11Clear Cache Mac1 fx11Clear Cache Lin1 fx11
  5. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.

Futa kache moja kwa moja

Unaweza kuweka Firefox moja kwa moja kufuta kache wakati Firefox inapofunga:

  1. Bofya kifungo cha orodhaNew Fx Menu na uchague OptionsPreferences
  2. Chagua paneli ya Privacy.
  3. Katika sehemu ya History, weka Firefox will: kwa Use custom settings for history.
  4. Chagua kisanduku tiki kwa Clear history when Firefox closes.Clear Cache Win2Clear Cache Mac2Clear Cache Lin2
  5. Kando Clear history when Firefox closes, bonyeza kifungo Settings.... Dirisha la mazingira kwa ajili ya Kufuta Historia itafungua.
  6. Katika dirisha la mazingira kwa ajili ya Kufuta Historia, bonyeza kisanduku tiki karibu na Cache.Clear Cache Win3Clear Cache Mac3Clear Cache Lin3
  7. Bonyeza OK kufunga dirisha la mazingira kwa ajili ya Kufuta Historia.
  8. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.