Jinsi ya kubadili browser yako ya msingi katika Windows 10
Revision Information
- Revision id: 100792
- Ilibuniwa:
- Muumba: Michael Buluma
- Comment: en to sw
- Reviewed: Ndio
- Reviewed:
- Reviewed by: buluma_michael
- Is approved? Ndio
- Is current revision? La
- Ready for localization: La
Revision Source
Revision Content
Makala hii inatumika tu kwa Windows 10.
Wakati unapoboresha windows hadi Windows 10, unaweza bila kukusudia kuweka upya browser yako ya msingi kwa Microsoft Edge. Fuata hatua hizi kubadili browser yako ya msingi kurudi Firefox.
- Bonyeza kitufe cha menyu The image "new fx menu" does not exist., kisha chagua .
- Katika paneli ya General, bonyenza
- Dirisha la kuweka Mipango ya msingi itafungua.
- Chagua
- Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.
- Bonyeza Kifungo hii ya kuchagua browser yako ya msingi:
- Upande wa skrini Default Apps, shuka chini kwenye Web browser na bonyeza kiingilio chake. Katika kesi hiyo, ikoni itasema Microsoft Edge au Chagua browser yako ya msingi.
- Katika Chagua programu skrini, shuka chini kwenye Chaguzi nyingine, na bonyeza Firefox ili kuweka kama browser ya msingi.
- Firefox sasa imeorodheshwa kama browser yako ya msingi. Funga dirisha ili kuhifadhi mabadiliko yako.