Itikio la Jukwaa - Sakinisha Kiendelezi

Jinsi ya Kufunga Kiendelezi cha kuongeza:

  • Fungua kidhibiti cha viendelezi (New Fx Menu kisha appmenuAddons)
  • Kokota faili ya XPI yako iliyopakuliwa hadi tabo ya meneja ya viendelezi na kuachilia hapa.

au

  • CogWheel na chagua 'Install Add-on From File'.
  • Tafuta faili ya * .xpi iliyopakuliwa na bonyeza 'Open'.
  • Unaweza hitaji kuanzisha upya Thunderbird unapoulizwa kufanya hivyo.

Kwa maelekezo ya kina zaidi na habari kuhusu kufunga viongezi tafadhali tazama Installing an Add-on in Thunderbird

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More